Mshamba ni mtu wa namna gani?

Mshamba ni mtu wa namna gani?

Mshamba ni mtu yoyote asiyemeet standards zinaonekana kuwa za 'kijanja' katika jamii husika hasa jamii za watu waishio katika miji mikubwa..mf. Washamba no. 1 wa Dar ni wazaramo, Arusha ni wameru, Dodoma ni wagogo na Mwanza (na Tanzania kwa ujumla) ni wasukuma!
 
Pole kwa kuwa wewe ni mshamba shamba la Mh Mbowe na genge lake, kwa sababu wewe ni shamba na ni mshamba uliuzwa kwa vi billion hahahaha, jamaa anakula mrija kwa kuku tu sasa washamba mkiwa mnamilikiwa na nyeupe hahahah
Nyie tushawazoea ushamba wenu wa kupewa kofia na flana za kijani mkatumia mawazo yenu ya mda mfupi kufanya maamuzi ya mda mrefu.
 
Mshamba ni mtu yoyote asiyemeet standards zinaonekana kuwa za 'kijanja' katika jamii husika hasa jamii za watu waishio katika miji mikubwa..mf. Washamba no. 1 wa Dar ni wazaramo, Arusha ni wameru, Dodoma ni wagogo na Mwanza (na Tanzania kwa ujumla) ni wasukuma!
Umekariri, we mwenyewe tayari ni mshamba kuliko wote unaowatuhumu.

Nyani haoni kundule huliona la mwenzie.

Waishio mjini wanajiona sio washamba wakati ndio washamba. Hujifanya wanajua kila kitu wakati hawajui kihivo.

Kwa ujumla hakuna mtu asiye mshamba na hakuna mtu asiye mjinga duniani.

Kuna watu wanafiki wanajifanya wao si washamba kama mtu fulani, jamii au kabila fulani.
Huo nao ni ushamba mkubwa!!!

Mtu amezaliwa mjini, huona wali na nyama kwenye sahani tu, anaenjoy kula, akishiba anaanza kuwaita Mkulima na mfugaji ni washamba, kisa wamechagua kazi ya kulima na kufuga-huu ni ujinga+ushamba,!

Yeye mwenyewe akiulizwa mmea wa mpunga unafananeje-hajui, je huyo sio mshamba+ujinga? maana mimea kwa mkulima ni vitu vya kawaida lkn huyo wa mjini akioneshwa mmea wa mpunga anashangaa=ushamba huo!
 
hahahahah Freyzem unachekesha, kweli wewe hata kinunda yule wa math humjui. Sasa unasema d.w.t? Hiyo ni d.w.t makalio yako, kwa sababu unafikiria kutumia makario na some constant in the nominator, hivyo ukifanya differentiation lazima ulambe zero maana any zero divide by any number like your makalio iz zero.
Mbona unachekacheka sana, unatekenywa na mwenyekiti wako??
Au unahitaji kusuguliwa wewe kil.aza?
Kumjua kinunda ndio kujua hesabu? Wewe fala kweli! Ona hata jina lake hujui kuandika, ni Kinunda na siyo kinunda! Halafu makario ni kitu gani au ni huo mpododo wako uliokaa kama wa ng'ombe anayesubiria kupandwa?
Usijaribu kunijia na differentiation yako ya BAM wewe kiazi...
Hiyo differentiation yako jidifferentiate mwenyewe kwa heshima
ya mtombo unaoupata ili ushamba ukutoke halafu njoo kivingine!..Umesikia wewe usiyejua kuchamba??
Poor you...
Low i.q....!!
 
..... Freyzem basi weka kinyesi badala ya makalio. Na zero iwe juu. Maana yake ukiwa umejaza kinyesi kichwani na zero chini yake maana yake unakuwa infinity ktk insanity. Pole maana hata dawa ya kukutibu huo ugonjwa haipo. By the way ulishikishwa ukuta na zero?
 
Kwa uelewa wangu
Ushamba ni kushangaa kitu ambacho wenzako wanakiona ni cha kawaida tu.
Nakubaliana na wewe, niliona wazungu Zanzibar wakishindwa kuvuka barabara huku watoto wa Stone Town wakipishana na mabasi yao (Chai maharage) bila jasho. Hivyo hakuna mshamba isipokuwa ni pale unapokuta mazigira tofauti na uliyoyazoea
 
..... Freyzem basi weka kinyesi badala ya makalio. Na zero iwe juu. Maana yake ukiwa umejaza kinyesi kichwani na zero chini yake maana yake unakuwa infinity ktk insanity. Pole maana hata dawa ya kukutibu huo ugonjwa haipo. By the way ulishikishwa ukuta na zero?
Poor you...umeandika tu uharo uliotokana na kula matapishi ya pumba za lumumba!
Kwa utumbo wako huu na ushamba wako, inaonyesha wewe ni punguani na unamtindio wa ubongo wako!..
Anyway nilishakupuza tokea siku nyingi sana na ndugu zako walio kama wewe!
Mwanamke mpumb.avu sana wewe!
Naona unawashwa, na bila hiyana wewe utakuwa ma.laya, sasa na hali yako kwa sasa ilivyongumu unatafuta wa kukubandua angalao upate bando la kuingia humu na kubwabwaja!
Chunga sana kama hujui kuna wakati 1+1=0!
Nakuonea huruma sana na ufeki wa vyeti vyako!
 
Mshamba ni mtu anayetokea kwenye makazi yaliyoko maeneo ya mashambani ambapo akifika mjini akianza kushangaa vitu huitwa Mshamba! Lakini mtu anayotoka mtu MJINI akaenda kwa waishio maeneo ya mashambani huitwa Mji.nga
Huitwa wa mjini na huonekana ana dharau vya kijijini
 
Mshamba ni mtu yoyote asiyemeet standards zinaonekana kuwa za 'kijanja' katika jamii husika hasa jamii za watu waishio katika miji mikubwa..mf. Washamba no. 1 wa Dar ni wazaramo, Arusha ni wameru, Dodoma ni wagogo na Mwanza (na Tanzania kwa ujumla) ni wasukuma!
Standard za Dar zinakwenda sambamba na wenyeji walizoweka kwa maana nyingine kama hauja-meet standard za wazaramo wewe ni mshamba tena mshamba orginal.
Mkuu acha wivu jivunie unapotoka hata kama haujameet hizo standard za kijanja za wenyeji zinazotakiwa katika hiyo mikoa badala ya kujihisi mnyonge.Usijali hata kama umetoka Kishumundu au Rombo utaitwa Mrombo.Maana watu wa Kilimanjaro wengi wanaogopa kuonekana washamba mwishowe hukimbia kwao na kuwa na wivu na wenyeji wa miji iliyoendelea ambayo wao ni wageni.Jenga Kishumundu ili iwe mjini badala ya kujipendekeza Arusha kwa Wameru,Mwanza kwa wasukuma,Dodoma kwa wagogo,Dar kwa wazaramo,Mbeya kwa wanyakyusa n.k
 
Mshamba ni mtu anaefanya mambo kinyume na kawaida,kwa mfano kuchomekea koti kwenye suruali,kuchomekea shati ndani ya chupi,kutembea na redio kubwa ya mezani mitaani ukiwa umeibeba mikononi huku unaburudika nayo,kupaka blue band mkate pande zote mbili,vitu vya kawaida wewe unaona vya ajabu,na mengineyo mengi.
 
Umekariri, we mwenyewe tayari ni mshamba kuliko wote unaowatuhumu.

Nyani haoni kundule huliona la mwenzie.

Waishio mjini wanajiona sio washamba wakati ndio washamba. Hujifanya wanajua kila kitu wakati hawajui kihivo.

Kwa ujumla hakuna mtu asiye mshamba na hakuna mtu asiye mjinga duniani.

Kuna watu wanafiki wanajifanya wao si washamba kama mtu fulani, jamii au kabila fulani.
Huo nao ni ushamba mkubwa!!!

Mtu amezaliwa mjini, huona wali na nyama kwenye sahani tu, anaenjoy kula, akishiba anaanza kuwaita Mkulima na mfugaji ni washamba, kisa wamechagua kazi ya kulima na kufuga-huu ni ujinga+ushamba,!

Yeye mwenyewe akiulizwa mmea wa mpunga unafananeje-hajui, je huyo sio mshamba+ujinga? maana mimea kwa mkulima ni vitu vya kawaida lkn huyo wa mjini akioneshwa mmea wa mpunga anashangaa=ushamba huo!
Ungenielewa hata usingeandika yote haya..mimi naweza kuwa mshamba machoni pako in case si-meet standards zako za ujanja na wewe vivyo hivyo..sasa kuna collective standards ambazo zinalubalika na majority katika jamii..sasa sijui unataka tubishane nini!? We msukuma nini?
 
Back
Top Bottom