kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 821
- Thread starter
-
- #121
Usivovijua usiropoke tuache JWTZ nani kakwambia serikali inalipaga mshahara mara 3 hzo zingine ni posho na hazilipwi tarehe hizoSi nilisikia kwamba serikalini mshahara unatoka tar 19? JWTZ si wanapata salary mara tatu? "Resheni" tar 7 , Nusu Mshahara tar 15 na Mshahara mwingine Tar 30!!
Ile soda uliyoniambia nikanywe kwa mangi vipi?Nimekuja.
Acha kukurupuka kama umefurumushwa unakata GOGO nje mdau juu kashajibu.....Posho pia ni part ya mshahara wewe!!Usivovijua usiropoke tuache JWTZ nani kakwambia serikali inalipaga mshahara mara 3 hzo zingine ni posho na hazilipwi tarehe hizo
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Ile soda uliyoniambia nikanywe kwa mangi vipi?
Jikoni si hazina? Sasa huku sisi ndio wasuka mifumo, hao walioko huko ni akina nani...LOL, nimecheka kwa sauti hapa.
Nilikwambia uende kwa mshahara wako unaosubiria, nilidhani ndiye mtoa mada, kumbe ulikuwa mchangiaji tu mwenye ubishi mwingi, unabishana na walioko jikoni ati.
Nina kulaumu sana boss, umeniingiza chaka dahwewe kachukue kitu kishatema
Boss hujaingiziwa? Dah basi pole sana maana CRDB Asilimia kubwa washapata
Bado bila bila kiongozi?
Hivi kuna watu bado wanaishi kwa kuajiriwa? Like seriously
Mm natumia NMB bado sijawekewa mpaka muda huu naweza kumconsult nani?Boss hujaingiziwa? Dah basi pole sana maana CRDB Asilimia kubwa washapata
Khaaa kachukue sasa!!Habari wakurungwa
Kulikoni hali mbaya kwa mangi hakuendeki leo tarehe 24 hali tete mshahara kimya kunani huko jikoni au mpaka wiki ijayo?
Ongezeko la mshahara lina kujaHabari wakurungwa
Kulikoni hali mbaya kwa mangi hakuendeki leo tarehe 24 hali tete mshahara kimya kunani huko jikoni au mpaka wiki ijayo?
Hauna mshahara wewe uko nchi gani kitu tangu Jana usiku?Habari wakurungwa
Kulikoni hali mbaya kwa mangi hakuendeki leo tarehe 24 hali tete mshahara kimya kunani huko jikoni au mpaka wiki ijayo?
Mm natumia NMB bado sijawekewa mpaka muda huu naweza kumconsult nani?