Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,876
- 51,684
Utakua umeshakata wote maana umepokea kwa shangweMMmmm....ha ha ha mi basi mgumu kuelewa.
Mi imesoma sasa, NMB, nenda tu kwa Mangi leo ufurahi


Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
Utakua umeshakata wote maana umepokea kwa shangweMMmmm....ha ha ha mi basi mgumu kuelewa.
Mi imesoma sasa, NMB, nenda tu kwa Mangi leo ufurahi


Hahaha Mkuu umeingia kaka haha
Nimeshachoma mafuta mara mbili, siendi mpaka jioniHahaha Mkuu umeingia kaka haha



Single mother huyo haha.
Kwanz kwa kauli zake anaonekana ni mwanamke jeuri, kuolewa litakuwa suala gumu sana ataendelea kudanga tu
mshahara now unatoka kwa pamoja mkuu hakuna cha serikali kuu, mashirika ,taasisi wala ualimu wala uko benki gani wote mzigo unaingia kwa pamoja
😀😀😀😀Nimeshachoma mafuta mara mbili, siendi mpaka jioni
Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
sijasema hujapata elewa point yangu...ukiona umepata wewe jua wote walio kwenye payroll mzigo umeingia.
NMB ndio hukabidhiwa mzigo wote na wao kusambaza kwenye benki zingine. Ndio huja masuala ya kusubiri masaa 48 na mambo kama hayo ndio maana NMB wanakuwa wa kwanza kuingiza.Hiyo ni system ya kibenk inavyofanya kazi lakini sio hazina na nikuambie tu ikiwa hivo NMB ndio huwa wanaanza mapema kupata
Umepiga teke la kisigino umasikiniHapana, mi bado nina visalio vyangu vya kunisogeza siku, labda wiki ijayo ndio nitaenda benki.
walippata ni crdb tu ss wengne tunaendelea kusubir ofisini crdb wameshapata bado sie wa nmb
Very poor system but whyNMB ndio hukabidhiwa mzigo wote na wao kusambaza kwenye benki zingine. Ndio huja masuala ya kusubiri masaa 48 na mambo kama hayo ndio maana NMB wanakuwa wa kwanza kuingiza.
Yap mzee ndio wana mkataba sasa, lakini haiwezi fika masaa 48 malipo ya mshahara ni tofauti sana yakizidi sana ni masaa 6 utofautiNMB ndio hukabidhiwa mzigo wote na wao kusambaza kwenye benki zingine. Ndio huja masuala ya kusubiri masaa 48 na mambo kama hayo ndio maana NMB wanakuwa wa kwanza kuingiza.
kwa hiyo ile soda kwa mangi nilipe utakuja kulipa?Mi NMB kitu kimeshasoma, na punguzo la PAYE, inayotosha kuombea mkopo au kuweka kwenye kibubu, teh.
Naona huna majukumuHapana, huwa najitahidi kuishi kwa kujibana, mambo ya kuumbuka mshahara unapochelewa huwa sipendi.





Kijana majukumu hana kabisaa...!!