Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,843
Salary Advance NMB kwangu inagoma asee. Ni yapi Masharti na Vigezo vyake??!?!Piga salary advance
Salary Advance NMB kwangu inagoma asee. Ni yapi Masharti na Vigezo vyake??!?!Piga salary advance
FOREX vp mkuu?Kitu hichooooooooo.... Afazali.
Ngoja nikalipe deni la Asali nilonunua juzi
Nimeuona, Nafuta kauli.Mi nimeangalia, sijauona![]()
We unafanya nin?Kwa wale watumishi humu ebu tujitahidi kuwa na vishughuri mbadala kwa ajili kujiongezea kipato tofauti na mshahara.
Sawa umepanda daraja,jitahda ufufue na ndoa yako mpya ya salary!Aisee nimepanda Daraja
hahaaaa mkuu umetishaaDah niko na taasis ya Kanjibai ndo kwanza anasubir mwez uandame 🙁
Sasa kama wewe polisi una elfu 10 tu iliyobaki, nikikupa laki tano cash nipitishe meno ya tembo utakataa kweli?Tuache utani. Hapa mpaka town sh elfu sita. Nauliza tena. JE MSHAHARA UMETOKA ?? Nisije nikatumia hii 10 ya mwisho halafu nikakwana Manyara
Ndyo!Umetoka usiku huu ama?
Ogopa sana mkuu sio pazuri hukuAisee, hongera saana mkuu. Naomba unipe tips mkuu.. Ilikuaje ulivyo toka rasmi kwenye huu utumwa.. Maana Mimi binafsi pia nko mbioni.
Uzalendo kwanza. Polisi wa leo sio wajingaSasa kama wewe polisi una elfu 10 tu iliyobaki, nikikupa laki tano cash nipitishe meno ya tembo utakataa kweli?