Mshahara wa mwezi April umeshatoka?

Mshahara wa mwezi April umeshatoka?

Hizo hela mnapewa mkononi au mnawekewa kwenye Account zenu?
we nae kumbe sometimes haunaga point eeh...
kuna watu ukionaga comment yake unasema ehee... kumbeeee
but
title ilisema "mishahara yao ishaingizwa kwenye account zao" at the same time unakuja kuuliza "hizo ela mnapewa mkononi au mnawekewa kwenye account zenu?"

may be sijaelewa ulikua una maanisha nin
 
Mkuu title imefanyiwa uhariri, haikuwa kama inavyosomeka kwa sasa jambo ambalo ndio limezaa hilo swali langu.

Huu uzi umeletwa usiku majira ya saa saba kuelekea saa nane.
 
Mazoea ya kutegemea mshahara...sio mazuri..ni vyema kufanya... biashara ya ziada...
Tusikariri. Si kwamba kila anayepata mshahara hana biashara, la hasha! Wengine wanaitumia mishahara yao kuongeza mitaji ya biashara, kwa hiyo mtu akiuliza humu usikariri kuwa kipato chake ni mshahara tu!
 
Faru kabula yuko wapi faru ndungai?
 
Huo mshahara ushatoka jamani? Kuna watu tunawadai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom