Mshahara wa mwezi April umeshatoka?

Mshahara wa mwezi April umeshatoka?

Salary Loading...... Pleas wait&&...Synthesizing....Loading...unknown zone... Please wait...
 
Walimu bhaana mnasumbua!!!!

Kwani wamekuita huku jukwaaani,au unawashwa,aya chora 7 nikupime tezi dume na huu mdole
tapatalk_1524416649314.jpeg
 
Mwezi huu sina presha sana juu ya salary.
Ila mnaokashifu watu kisa kuulizia haki yao (mshahara) mna matatizo.
Si kila anayeulizia mshahara kwamba kapigika la hasha.
 
  • Thanks
Reactions: snn
Jamani em tuweni na subra kwenye mambo kama haya,,, hata sisi wengine humu ni wafanyakazi wa serikali pia lakini hatujafikia hatua ya kuja kuulizia mishahara humu?
Haipendezi naona kama nikujidhalilisha.
Ikiwa hauna sim bank ni vyema ufanye mawasiliano na mfanyakazi wa bank atakupa data zote kuliko kuja kujisumbua humu.
 
Habari za muda huu wadau,

Mliokuwa mnaulizia mishahara; tayari imeshatoka ( hakyanani mlikuwa mmsota kusota)

Nimewafahamisheni ili kuondoa minong'ono "kuwa zimeenda kununua bombardier, Chattle airport"
 
Mangi anasumbua katoka kuningongea mlango si mda , mambo bado tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom