Mshahara wa mwezi April umeshatoka?

Mshahara wa mwezi April umeshatoka?

Mazoea ya kutegemea mshahara...sio mazuri..ni vyema kufanya... biashara ya ziada...
Sasa ulitaka mfanyakazi ategemee nini. Halafu muache kudanganyana kuwa ni lazima mfanyakazi awe na shughuli ya ziada. Huwezi tumikia mabwana wawili, so anayeona mshahara hautoshi suluhu nzuri ni kuacha ajira atafute kazi au shughuli yenye maslahi. Huwezi fanya shughuli nje ya ajira bila kuiba muda wa muajiri au kupunguza ufanisi yaani sehemu moja ITALEGA tu.
 
Pole mkuu...ni ushauri...sio sheria...unaweza usiutumie
 
Jamani kwa wale watumishi,napenda kujua,usiku huu ujumbe umefka kuwa salary tayari,je ni utaratibu mpya wa kuwekewa salary usiku

Je ina maana watu wakachukue hela zao usiku?
 
Hizo hela mnapewa mkononi au mnawekewa kwenye Account zenu?
 
Jamani kwa wale watumishi,napenda kujua,usiku huu ujumbe umefka kuwa salary tayari,je ni utaratibu mpya wa kuwekewa salary usiku

Je ina maana watu wakachukue hela zao usiku?
Nadhani utakuwa utaratibu mpya.
 
Kuwekewa mshahara kwenye "akaunti yako" maana yake ni kwamba "umechukua mshahara wako". Ndo maana mshahara ukitoka wengine husema "wamepokea mshahara".

Sasa kama ni usiku mbona umepokea? Ukaweke standing order kwenye benki yako ili akaunti yako isikubali kupokea hela usiku.
 
Ni ujumbe kwa Mkuu wa kaya kuwa wanawajibika hata usiku ili siku akisikia kuna watu wanalipwa overtime asihoji maana ushahidi ndiyo huo
 
Swali lako ni muhimu kwa muktadha wa kutaka kujua fedha ilitoka hazina lina hadi kuingia benk na benki kukujulisha.
Nadhani unataka kujua kama fedha yako kutoka hazina hadi kufika benki haijatumika kwa namna yoyote ile kutengeneza faida pindi ilipotumwa benki?
 
Jamani kwa wale watumishi,napenda kujua,usiku huu ujumbe umefka kuwa salary tayari,je ni utaratibu mpya wa kuwekewa salary usiku

Je ina maana watu wakachukue hela zao usiku?
Sms imechelewa kuingia,siyo kwamba muda huo bank ndo wameingiza hela.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom