Mshahara wa mwezi April umeshatoka?

Mshahara wa mwezi April umeshatoka?

Tuache utani. Hapa mpaka town sh elfu sita. Nauliza tena. JE MSHAHARA UMETOKA ?? Nisije nikatumia hii 10 ya mwisho halafu nikakwana Manyara
 
Ngoja niache neno hapa......mshahara bado haujatoka mpaka mda huu napoacha neno....
 
H
Wadau habari za muda huu,

Naomba mnijuze wadau mishahara ya mwezi April i imeshatoka au bado.

Kwa yoyote mwenye Kujua anijuze.
Mishahara ndio nini wengine hatujui mishahara ,kila mwajiri ana utaratibu wake sijui wewe mwajiri wako ni nani,sisi wengine ndio waajiri na waajiriwa wenyewe.
 
Wadau habari za muda huu,

Naomba mnijuze wadau mishahara ya mwezi April i imeshatoka au bado.

Kwa yoyote mwenye Kujua anijuze.
Kama umetingwa sana chukua salary in advance kupitia NMB Mobile menyu!
 
tarehe zetu hizi mwenye imfo za salary atujuze maana hali tete huku [emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
 
Back
Top Bottom