ngopyolo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 1,940
- 1,521
Yes, tunatekeleza ilani yetu ya ccm kuwaboreshea maisha raia wakeNyongeza ya?185k?
Yes, tunatekeleza ilani yetu ya ccm kuwaboreshea maisha raia wakeNyongeza ya?185k?
Tarehe 24 tu mzee babaVp mkuu, tunajilipua lini kwenye huu utumwa wa kusubir mshahara wenye makato kibao
Masikhara hayoTayari na kuna nyongeza ya 185k
Hongera sana,Ccm inawajali wananchi wake sanaKitu hichooooooooo.... Afazali.
Ngoja nikalipe deni la Asali nilonunua juzi
Kweli,serikali ya awamu ya tano ya wanyonge,masikini,walala hoi na mazwazwa imeongeza hiyo pesa

Fungua uzi wakoNAOMBA KUJULISHWA NAMNA YA KUPOST TAARIFA JAMII FORUM 0629088763 AU
mtumishi anayejua vizur jiografia YA lushoto kuhusu mambo kadha#
1= fursa za kilimo hasa Kata ya mlola
2=huduma za kijamii hasa maji, umeme, na miundombinu ya barabara
3=usafir wa mlola -Lushoto hadi nje ya wilaya
4=uwepo wa makazi hasa ya kupanga hasa mlola kwa watumishi hasa ukikosa nyumba za serikali hasa mlola nawasilisha nomba. 0629088763
Mnipe tu inapopatikana hele niko huru mkuu siku mingiVp mkuu, tunajilipua lini kwenye huu utumwa wa kusubir mshahara wenye makato kibao
Atakuwa mwalimu tuUnafanya kaz taasisi ipi ?
Sikuwa hewani Mkuu, ila jamaa ninae. Leo asiponimalizia,hatutaelewana.Nahuja