Mtaji Laki 7 tu unatosha
Vifaa muhimu
Machine ya kufulia 1 au 2
Machine ya kg 9 inauzwa 530,000/=
Kama budget yako ndogo Anza hata na machine moja mwanzo mgumu.
Bei za kufua
Shati/t-shirt 1000
Suruali 1500
Makoti 2000 mpaka 3000
Blanket 5000
Mashuka 2000
Duvet 10000
Viatu 2000
Matenga
Tenga 1 = 13000
Nusu Tenga 7000
Gharama za kila siku
Sabuni kg 5 = 12000
Maji = 1000
Jumla ya gharama za kila siku 13000
Wastani wa mapato na FAIDA kwa siku
Mfano ukipata wateja wa Tenga 4 kwa siku
4*13000 = 52000
FAIDA ya siku
Mapato=52000-13000
FAIDA kwa siku 39000🔥
Mambo ya kuzingatia
1. Tangaza biashara yako kila siku
2. Toa vipeperushi (flyers)
3. Usianze na bei kubwa sana
4. Usikatae hela (mteja ni mteja)
5. Kuwa msafi na mwaminifu hii ndo siri ya kupata wateja wa kudumu.