Mbona umeshatoka kitambo tokea saaa nne muda huu nimeshazidraw

Ndilo tatizo la JF!Imeshatoka bar zote zimefulika
Nani Masikini??.Masikini!!..........
Kweli???, Usije ukatupandisha presha bure.Na mwezi huu kuna ongezeko la 184,000/= kwenye mshahara.Kwahiyo kwenye bajeti yako ongezea hizo pesa
Kweli,serikali ya awamu ya tano ya wanyonge,masikini,walala hoi na mazwazwa imeongeza hiyo pesaKweli???, Usije ukatupandisha presha bure.
Na mwezi huu kuna ongezeko la 184,000/= kwenye mshahara.Kwahiyo kwenye bajeti yako ongezea hizo pesa

Vp mkuu, tunajilipua lini kwenye huu utumwa wa kusubir mshahara wenye makato kibaoHaya maisha bhana
Tayari na kuna nyongeza ya 185kBado tu??
Ama kweli vyuma vimekaza. Enzi zile nani asumbuke kuuliza kama mishahara imetoka au bado!vp jamani wale wa crdb vp mshahara umetoka au bado sina sm banking.