Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,053
- 1,782
Website ya Ruwasa leo iko bize aisee
Kwann mkuu inakua bussy..Website ya Ruwasa leo iko bize aisee
Itakuwa wana upload mambo flaniKwann mkuu inakua bussy..
Hivi bado hawajaita watu wa kujitolea?Itakuwa wana upload mambo flani
Kwaio leo inawezekana ndo mambo yanaekwaItakuwa wana upload mambo flani
Tunavyojua kujipa matumainiItakuwa wana upload mambo flani


...sidhani labda bajeti ikisomwa leo halafu next weekSasa sisi bajeti ya kazi gani, hatuhusiani na bajeti ni program ya kujitolea haina malipo wala mshahara, anaetaka atakwenda asietaka hatokwenda, sasa kwanini inawawia ngumu kwa wale waliojikubalisha kujitolea kuchelewesha hadi baadhi ya watu wameshakata tamaaTunavyojua kujipa matumaini...sidhani labda bajeti ikisomwa leo halafu next week
Bado kimyaWakuu vp kuna mwenye lolote..
Sio suala la bajeti mkuu.Vjana kaeni mkao wa kula bajeti,ilishasomwa tayr
Wanatuvuruga Sasa mpk morali imeisha...hata Kama ndo tukajitolee ila sio Tena kwa uzalendo
Sio suala la bajeti mkuu.
Nadhani kuna mahala t hakupo sawa.