Bado sijaona jipya kwa Nala...
Kabla ya Nala kulikuwa na Mpesa app, tigopesa app na zote zinafanana na Nala.
Utofauti ni mdogo sana, na hakuna kinachowezekana kwa Nala kikashindikana kwenye app zingine.
Huyu jamaa alichokifanya ni kujitangaza na kuonesha idea yake bongo hazipo