Mshahara wa July 2019 vipi?

Wakati mwingine watumishi mnakaribisha wenyewe kudhalaurika hasa hizi nyuzi za kila mwezi kuulizia mshahara, hivi si mkae kimya mpaka muone kitu kwenye akaunti zenu, yaani mmekuwa watumwa wakusubiria mshahara mwisho wa mwezi.

Acheni kutudhalilisha na hivi vinyuzi vyenu uchwara, nyie ndio mnafanya watumishi waonekane wamepigika.
 
Mnazungumzia nyongeza ya mshahara. Upi na wapi mmeona utumishi wameweka bajeti ya nyongeza ya mshahara?.. hata kama hamkusikia kauli ya mheshimiwa?
Mkuu watu wamepokea barua tayar za kupandishwa.
 
Wamekusikia mkuu
 
Real point....Mkuu
 
Mkuu wapotezee tu kama haikuhusu. Binafsi naona ni haki yao kuongelea ujira wao baada ya kazi hata wakiwa wanaanzisha threads kila siku.

Kama haikuhusu pita kimya tu sio kila thread ni lazima ushiriki.

Ni ushauri tu usijenge chuki
 
Ulichoandika unaweza kukisoma wewe mwenyewe...Ningekua najua unapofanyia kazi wewe japokua inaonekana ni serikalini ulitakiwa urudi shule ukasome namna ya kuandika japo ATM tu basi.
 
Well said.
 
Ulichoandika unaweza kukisoma wewe mwenyewe...Ningekua najua unapofanyia kazi wewe japokua inaonekana ni serikalini ulitakiwa urudi shule ukasome namna ya kuandika japo ATM tu basi.
Wewe mwenyewe umeandika vishazi. Kwa mwandiko wako hata darasa la saba sidhani kama umemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…