Mshahara wa July 2019 vipi?

Kaka Retired sasa tuache utani. naongea ukweli. nimeongea na watu wa BoT, wamesema wanamalizia utaratibu na LEO HII MSHAHARA UTATOKA. uwe amani. Leo pesa inatoka mkuu
Sasa ngoja nikuibie siri! Niliacha hayo mambo some 12 yrs back. Hapa kuna issue/information naitafuta tu!
 
Wakuu with all serious note, hii issue ya mshahara imekaaje... si kawaida mpka muda huu bilabila. Kuna mafundi wako site nikitegemea hela ingetoka toka jana, niliweza kuwapiga kiswahili jana ila leo sijui ntawaambia nn
Mkuu avatar yako na ulivyoandika kwa unyonge vinashabihiana kweli kweli. Kwa kuwa dhamiri yako ni safi na huna mpango wa kuwadhulumu hata kama leo usipopata waambie ukweli tu watakuelewa. Binafsi kwenye serious issues huwa naamini sana ktk kuwa mkweli na muwazi, ukiacha tu zile za wadada wa dar es salaam wanaoombaga hela hela bila utaratibu.
 
Hahahaha kiswahili au kingereza hahahahhahahahhahahahahahahahahhahahahahahahhahaha
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…