Mshahara wa July 2019 vipi?

Kuna rafiki yangu leo hajaenda job..maisha haya!

Kama ni wa kike niunganishe nae ili niwe nampa hii hela ya madaraka ya uratibu elimu kata ninayopewa na hii serikali ya awamu ya tano kila mwezi. Laki mbili na nusu si itamtosha?
 
Kama ni wa kike niunganishe nae ili niwe nampa hii hela ya madaraka ya uratibu elimu kata ninayopewa na hii serikali ya awamu ya tano kila mwezi. Laki mbili na nusu si itamtosha?
Utapomkuta ni Afisa elimu(W) sijui utasemaje mkuu.
 
Atakuwa anatunzwa na mwanae anayefanya kazi serikalini
Sawasawa. Atakua mzee fulani msg za kuomba pesa ya pombe za kienyeji kwa mwanawe aliyeolewa haziishi. Ndio maana anaulizia mwenyewe ajue kama mama ameshachota
 
Mshahara tayari
Kuna ongezeko kubwa sana!
JPM katufanyia suprise kwa kweli!
Wahini kwenye ATM mkachague lugha
😨😨😨😨😨😨😨😨😨😨
Alisikika mlevi mmoja mtaani kwetu leo asubuhi akinena maneno hayo!
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Ngoja waje utakoma matusi...
 
Ngoja waje utakoma matusi...
πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…