Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wataweka tu ni suala la muda,kama una kabiashara kanaingiza vi miambili tumieni hizo Mama atacheka siyo muda mrefu.
Wale wa maandishi manne CRDB tembo atageuka bila shaka..
 
Back
Top Bottom