Mshahara wa Agosti 2019

Kila mwezi lazima nione thread ya mshahara
Hali ngumu, huyo mwanzisha thread ndio unaweza kuta anaulizia kama mshahara umetoka yeye mwenyewe.
Ni vyema tumshahuru afanya na kaujasiriamali chochote kadri mazingira anayoishi yanaruhusu. Ili asitegemee sana mshahara
 
Kina sehemu nilisikia wengine wanaiba hizo sukari na majani ya chai ya ofisini wanapeleka majumbani kwao
 
Kina sehemu nilisikia wengine wanaiba hizo sukari na majani ya chai ya ofisini wanapeleka majumbani kwao
Mkuu hiyo ni kawaida< tunakabidhiana funguo za kabati kwa kuwekeana sahihi! Hivi utumishi wa umma ni kama kugeuzwa msukule?
 
Wewe ndio Kipepe Comrade, ambaye nilimuuliza hilo swali? Una ID mbili tofauti, ama umeamua kumjibia swali mumeo? JF ina vichekesho sana siku hizi.
Nimejibu Mimi Kama Mimi kwani shida IPO wapi? Au una stress za Makato ya mkopo uliounywea bia bila kutimiza malengo? Pole vumilia
 
Watumishi mna shida kweli kweli siku usipotoka mshahara mnaweza kutembea bila nguo
 
Nimejibu Mimi Kama Mimi kwani shida IPO wapi? Au una stress za Makato ya mkopo uliounywea bia bila kutimiza malengo? Pole vumilia
Utajibuje wakati hujaulizwa wewe? Wazazi wako ndio wamekufundisha nidhamu ya namna hiyo? Wewe ndio huyo KIPEPE? Au ni wewe ni mkewe ama Nyumba ndogo yake?
 
Siku si nyingi utaona mtu anakuja na uzi wa kuulizia iwapo mshahara umeshatoka maana kuna jirani yake anamdai!
 
Siku si nyingi utaona mtu anakuja na uzi wa kuulizia iwapo mshahara umeshatoka maana kuna jirani yake anamdai!
 
Haaaa haaaaaa haaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…