Mshahara wa Agosti 2019

Unazuga pambana na hali yako sanaa kila mahali kwasasa
 
Kila zama na kitabu chake, zamani walimu walikuwa wakopeshaji kwa wengine, leo sungura anakimbiza mbwa
Tumeyataka wenyewe kwa kuingizwa mkenge na baadhi yetu! Majuto sio mjukuu tena ni Babu yetu sasa hivi
 
Nimepita NMB sijaona hata mtu mmoja,ingekuwa tayari watu wangekuwa wengi pale
 
huwa natamani siku moja mishahara ichelewe mpaka kwenye tarehe 30 hivi tuone vilio vyake
 
Huko hospitalini hali mbaya kabisa. Nina jamaa yangu ni daktari tunamheshimu sana mtaani maana amesoma pale Muhimbili karibu miaka 10 mfululizo. Elimu kubwa sifa kubwa. Majuzi nikawa na shida nikamtafuta ofisini, nilichoka! Kumbe hata mwalimu wa la saba ana nafuu sana ya mazingira ya kazi kuliko hawa mabingwa wa tiba! Kwanza hana ofisi wala kiti, nafasi ni za kusogezana na manesi kwenye kachumba kadogo pale Mwaisela wodini. Pili, ni hizo chai za rangi na mafurushi ya vitumbua na karanga wanayogawana kwenye vikombe vilivyochoka sana! Yaani ofisi haina tofauti na wauza samaki wa ferry! Yaani mtu anasoma vile akafanye kazi mazingira gani yale?
 
Mpaka sasa NOVEMBER INDIA LIMA tuendelee na kawaida wazee [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…