Ukijiajiri, hutakuja kuajiri wengine? Hao utawalipa nini kama sio mshahara?Mwanaume utakubalije kushikiwa mshahara wako mpaka mwisho wa mwezi ilhali una masters yako mkononi pambana jiongeze tumia maarifa jiajiri usiogope siku zote penye maono pana mafanikio[emoji123]
Mkuu badilisha maisha yakoNina jirani yangu Mwl jioni hii anataka kanikopa 100,000/= ili arudishe kwa riba nafui atakapopata mshahara wa Agosti. Sijajua kama ni utapeli au ni kweli haujatoka kwa vile nilisikia siku hizi mishahara ni kati ya tarehe 19 na 20. Naombeni ukweli mnaojua ukweli kama ni bado au la ili nichukue maamuzi.
Mbona unatoa siri za sirikaliiiExchequer zilishatoka kwa taasisi mbalimbali inawezekana leo wakaachia mzigo.
Itakuwa ni halmashauri mkuu maana wana viwango vidogo sana vya mshaharaHivi wanaopenda kuulizia mishahara ni wafanyakazi wa halmashauri? Walimu au maana kila mwezi lazima waulizie mshahara
Kwanini uudhalilisheualimu? Ungeuliza tu bila kumtaja mwalimu usingejibiwa? Mpumbavu mkubwa wewe. Mwalimu kakupa ujuzi ulionao halafu unautumia kumdhihaki?Nina jirani yangu Mwl jioni hii anataka kanikopa 100,000/= ili arudishe kwa riba nafui atakapopata mshahara wa Agosti. Sijajua kama ni utapeli au ni kweli haujatoka kwa vile nilisikia siku hizi mishahara ni kati ya tarehe 19 na 20. Naombeni ukweli mnaojua ukweli kama ni bado au la ili nichukue maamuzi.
Nilichukua uamuzi wa kumpatia nusu . Hii ni kutokana na taarifa zenu kuwa kumbe bado haujatoka.
Tatizo siyo CCM, bali ni wachaguliwa wake. Watapita tu.Watumishi ikataeni CCM inawakandamiza,hakuna ongezeko wala kulipwa stahiki zenu kama zamani
Huku salama mkuu sijui huko vipi?Jamani vipi huko?
π π π πHuku salama mkuu sijui huko vipi?
Jamani vipi huko?
πππππππππππππππππHuku salama mkuu sijui huko vipi?
Huku kwema tu aisee..Huku salama mkuu sijui huko vipi?
JamanHahHahahahahahahh