Mshahara wa Agosti 2019

Wewe mtumishi umetumia trick nzuri sana kujua kama mmeshawekewa salary!!
Ubunifu mzuri huu!!
 
Inaonekana hujiamini,kumkopesha jirani yako mpaka uandike jf,fb,TT nk ama kweli kizazi cha dot com,pana maarifa mengi yaliyotuzunguka tunayotumia kuamua nikopeshe ama la,
 
Nampa mfano tu kwamba kufanya shughuli zako hakumaanishi usiwe na mshahara.

Najua jamii zetu hizi hawajui kwamba hata akiwa na biashara ndogo kiasi gani lazima ajipangie mshahara. Labda ni somo la siku nyingine.
Upo sahihi, lakini rejea mshahara tajwa kule juu
 
Ndio, wahi benki mkuu. Umetoka asubuhi hii. Ahsante Mungu wameweka na nyongeza japo kwa asilimia 60 (60%).
Alisikika mpiga debe (sio wa ccm) bali wa stendi kuu ya Katavi akiwahamisha wenzio wakachukue mikopo yao NMB benki...
😴😴😴😴😴😴😴😴😴😴 Nina usingizi kinyama yaani
 
Mshahara unatoka ijumaa mkuu, maana ukitoka kati kati ya wiki watu watalewa na kushindwa kuja kazini... So salary bado...
Mwanaume utakubalije kushikiwa mshahara wako mpaka mwisho wa mwezi ilhali una masters yako mkononi pambana jiongeze tumia maarifa jiajiri usiogope siku zote penye maono pana mafanikio[emoji123]
 
tayari mkuu
Ndio maana sitahama nchi yangu, πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Ndio maana sitahama nchi yangu, πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
kwa nini mkuu?
 
Hahaha dah asee nimecheka sana hasa baada ya kuona vunja jungu
 
Umeamua kuja kuniumbua huku jirani,sawa yote maisha [emoji9][emoji9][emoji9]
 
Exchequer zilishatoka kwa taasisi mbalimbali inawezekana leo wakaachia mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…