Mshahara wa Agosti 2019


Mwezi wa 8 Hadi wa Tisa.. utakua ushapata nAmna zingine..
 
Kuna jamaa yangu hapa ni mhandisi tena mkuu wa idara halmashauri ameenda kukopa mtaani ikabidi akabidhi kadi..yaani ni aibu tupu anaenda bar anakunywa kwa mkopo..sio walimu tu yaani utumishi wa umma ni shidaaaaaa!!
Watumishi wengi wapo hivyo ila walimu wanaongoza
 
semeni lolote basi
Kuhusu salary ya September?
Tayari
πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ πŸƒβ€β™€οΈ
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Heri yako wahi 🏧
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…