Mshahara Umeshatoka?

Serikali imeshindwa kuajiri,imeshindwa kupandisha mishahara,imeshindwa kupandisha madaraja watumishi.

Sasa naona hata mshahara itakuwa shida

Viwanda hoyeeeeeee!!!!!!
 
Kuna Mtu Mtumishi Namdai Kodi ya Nyumba!
Vipi?Shimo Lishatema?
Kwani Aliniahidi Tarehe 22 Mkulu Atakuwa Ameshalitemesha!
Nawasilisha!
We ndo muhusika sema unataka kujificha kwa la karanga
 
Back
Top Bottom