Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Aisee boss hebu kua makini kidogo,ungejua tunavyokwepa watu huku kwa madeni ungekua ushaacha maskharame nimecheck nmb mobile mda huu nikaona salio linasoma
Aisee boss hebu kua makini kidogo,ungejua tunavyokwepa watu huku kwa madeni ungekua ushaacha maskharame nimecheck nmb mobile mda huu nikaona salio linasoma
*150*66# kama umejiunga Na nmb mobileAisee boss hebu kua makini kidogo,ungejua tunavyokwepa watu huku kwa madeni ungekua ushaacha maskhara
Ndicho mlichobakiza waosha viatu wa ufipaHazina pamekauka....hakuna pesa,zimepelekwa operesheni vunja ukuta,pia bandari imekauka na watalii hakuna
idara gani hiyo kiongozi mbona huku kwenye idara yenye rundo la watumishi hakuna kitu hebu niwekeni vizuri isije ikawa mambo ya kipuuzi yale ya hewaNdicho mlichobakiza waosha viatu wa ufipa
Sasa tukikwambia ndio akulipe tafuta wana sheria wakusaidie kuliko kupangia kwenye viroba nomamkuu,mie nafuatilia ahadi tu!kosa langu nini?
Tafuta nchi nyingine ukaishi mpk Magufuli amalizie muda wakeHazina pamekauka....hakuna pesa,zimepelekwa operesheni vunja ukuta,pia bandari imekauka na watalii hakuna
Wewe lazima ni mchawiSerikali imeshindwa kuajiri,imeshindwa kupandisha mishahara,imeshindwa kupandisha madaraja watumishi.
Sasa naona hata mshahara itakuwa shida
Viwanda hoyeeeeeee!!!!!!
ulizoea posho za dezo na rushwa ndiyo maana. Uliishi maisha feki hayakuwa ya kwak9Aisee boss hebu kua makini kidogo,ungejua tunavyokwepa watu huku kwa madeni ungekua ushaacha maskhara
me nimecheck nmb mobile mda huu nikaona salio linasoma
eti mambo ya 'hewa ' ya kipuuzi. Hapa ni mawili ninayoyaona toka kwako. Kwanza either ww ni Hewa au mfaidika wa hewa .that's why unaona upuuzi kwa kuwa umeguswa tena vibayaidara gani hiyo kiongozi mbona huku kwenye idara yenye rundo la watumishi hakuna kitu hebu niwekeni vizuri isije ikawa mambo ya kipuuzi yale ya hewa
Mkuu, wewe sio mtumishi wa umma, naomba ukae pembeni utuachie mjadalaulizoea posho za dezo na rushwa ndiyo maana. Uliishi maisha feki hayakuwa ya kwak9
kumbe!asante kwa kunipa alternative!*150*66# kama umejiunga Na nmb mobile
mkuu,mie nafuatilia ahadi tu!kosa langu nini?

Namkimbia mazahousi hadi sasa sijarudi home na simu nimezima. Nikirudi nanyatia ndani halafu kesho alfajiri mwendo mdundo.
nimecheka sana kwani huna mke na watoto??idara gani hiyo kiongozi mbona huku kwenye idara yenye rundo la watumishi hakuna kitu hebu niwekeni vizuri isije ikawa mambo ya kipuuzi yale ya hewa
