Mshahara ulipwe kila wiki ili kusisimua uchumi

Mshahara ulipwe kila wiki ili kusisimua uchumi

Kiuchumi matumizi ya watu husisimuliwa kwa:

Kupunguza makato kwenye mishahara. Kiwango cha take home cha mwajiriwa kitaongezeka ataongeza manunuzi. PAYE na PSSSF wana makato ya ****** sana

Serikali ipunguze kodi ya mauzo na VAT kwenye bidhaa, kukiwa na upungufu wa kodi itawafanya waajiriwa na wananchi wote kwa ujumla wamudu kununua zaidi bidhaa

Serikali ipunguze riba ya ukopeshaji kwenye mabenki ya biashara, kadiri riba inavyokuwa ndogo inastimulate matumizi

Serikali iweke ruzuku kwenye nishati kama mafuta na umeme itapunguza gharama za uzalishaji, usafirishaji, nauli hii hufanya wananchi wasitumie pesa mingi kwenye kulipia hizo bills kitakachobaki kitaongezeka na wataspend

Serikali iongeze miradi mbalimbali kama ya ujenzi wa miundombinu n.k hii hutoa ajira za moja kwa moja. Kadiri watu wengi wanavyoajiriwa kwenye miradi hiyo ndivyo watakavyospend zaidi na kuongeza mzunguko wa pesa
 
Kiuchumi expenditure ya watu husisimuliwa kwa:

Kupunguza makato kwenye mishahara. Kiwango cha take home cha Mwajiriwa kitaongezeka ataongeza manunuzi. PAYE na PSSSF wana makato ya ****** sana

Serikali ipunguze kodi ya mauzo na VAT kwenye bidhaa, kukiwa na upungufu wa kodi itawafanya waajiriwa wamudu kununua zaidi bidhaa

Serikali ipunguze riba ya ukopeshaji kwenye mabenki ya biashara, kadiri riba inavyokuwa ndogo inastimulate matumizi

Serikali iweke ruzuku kwenye nishati kama mafuta na umeme itapunguza gharama za uzalishaji, usafirishaji, nauli hii hufanya wananchi wasitumie pesa mingi kwenye kulipia hizo bills kitakachobaki kitaongezeka na wataspend

Serikali iongeze miradi mbalimbali kama ya ujenzi wa miundombinu n.k hii hutoa ajira za moja kwa moja. Kadiri watu wengi wanavyoajiriwa kwenye miradi hiyo ndivyo watakavyospend zaidi na kuongeza mzunguko wa pesa
Xin Jinping for president 👏👏👏
 
Nasikia hata south africa ndio mtindo wao,ijumaa ni club,jumamosi club j pili wote kanisani.j 3 kazini.
 
Issue alieanzisha mfumo tulipwe Mwisho wa Mwezi alikosea sana mana tunatabia ya kujifanya kuwa Mwezi una wiki 4 sasa ukija kupiga hesabu unakukuka unapaswa ulipe kila baada ya siku 28 napo tunavyolipwa mara 12 ni tunapunjwa wakuuu

Sijalewa
Hakika mnapunjwa mwezi mmoja
28×12=336
Sasa mwaka unasiku 366
366-336=30(mapunjo)🤣🤣🤣🤣
 
Hakika mnapunjwa mwezi mmoja
28×12=336
Sasa mwaka unasiku 366
366-336=30(mapunjo)🤣🤣🤣🤣
Nimeliwaza sana hili Mkuu kusema kweli tunapigwa parefu sana baada ya wiki 4 tu haijalishi ni tarehe ngapi mzigo kwenye account

Sasa hii Tabia ya kila Tarehe 22_25 tunanyanyasika sana mkuu yana siku 366 wewe uanlipwa mara 12 tu
 
Acha unachokunywa urudi nyumbani 😃
 
Kwa sisi walimu wa kata huu upuuzi huu hatuutaki.
Kwa mshahara wangu huu wa 300k/mwezi utaishia kwenye nauli tu.
Nauli ya kutoka maneromango Hadi kisarawe na kurudi ni 20k, (mara 4 /month) ni 80k.
Kwa hiyo Kila mwezi 60k itapotea kwenye nauli tu. Kwa mwaka ni 720k.
 
Na matumizi yatakua ya wiki wiki, si una kua na uhakika wiki ijayo unaipata mzigo. Mi nakupinga
 
Tuna taizo la kuwa na mzunguko mzuri wa pesa mwisho wa mwezi kisha kukata kwa karibu siku 20. Biashara nyingi zinalala sana katikati ya mwezi.

Kwa sababu watu hawapangi foleni dirishani kuchukua mshahara kwa nini serikali na hata waajiri wengine wasilipe mishahara kwa wiki ili kusisimua uchumi. Kiasi ni kilekile sawa, lakini ni faida pesa ikiwa kwenye mzunguko na kuchochea uchumi badala ya kukaa idle mwezi mzima.

Ngoja ma experts wa uchumi waje kutufafanulia.

Tatizo mishahara mbuzi ndiyo maana wafanyakazi wanataka walipwe kwa wiki ,let say unakunja 3m kwa mwezi kweli utataka ulipwe kwa wiki? Ukisema kila siku utumie elfu 70 means home unaacha 40 na wewe 30 kwa siku 28 hapo ni karibu 2m then unabakia na 1m inapumua.
 
Back
Top Bottom