Mshahara sio wa kuhongea

Mshahara sio wa kuhongea

Ivindo

Senior Member
Joined
Feb 11, 2016
Posts
168
Reaction score
240
Habari zenu wadau, niko nimekaa hapa nawaza naona salio limesoma inaonekana salary imeingia.

Najaribu kuona mgawanyo ili mambo yaende ila daah naona nooo...kuna harusi, kilaji, sadaka (zaka), bills la maji umeme vocha etc. Baada ya kuwaza sana nimegundua mshahara sio wa kuhonga, unaweza pata laana.

Ni bora kama una deal
Ngingine uhonge lakini sio mshahara, kumbuka kuna watu wamejinyima sana ili usome, mkeo/mmeo, watoto wanajua unaenda kazini. Kiroho ni kama unaenda nao na unafanya nao kazi, sasa unaanzaje kuhonga mshahara?


Laana nyengine tunajitakia wenyewe tu, we sadaka hutoi, mkeo analalamika kila
Siku, mama ako yuko bush, alafu unapata ujasiri wa kutuma 80,000 ya keki ya b/day haaaaa!

Kuanzia leo sihongi mshahara potelea potee
 
MKUU MSHAHARA NI PESA NA PESA NDO ZINATUMIKA KUHONGA MARA NYINGI.VITU VINGINE HAVIEPUKIKI MKUU
 
Mkuu usitupangie matumizi kwani kuhonga nako ni moja ya matumizi ya hela
 
Hongeni bhana ili ikifika tarehe 5 mje tuwakopeshe kwa riba.
Kumbe umeshatoka eeeh! Ngoja nianze kutafuta raia wangu.
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Habari zenu wadau, niko nimekaa hapa nawaza naona salio limesoma inaonekana salary imeingia.

Najaribu kuona mgawanyo ili mambo yaende ila daah naona nooo...kuna harusi, kilaji, sadaka (zaka), bills la maji umeme vocha etc. Baada ya kuwaza sana nimegundua mshahara sio wa kuhonga, unaweza pata laana.

Ni bora kama una deal
Ngingine uhonge lakini sio mshahara, kumbuka kuna watu wamejinyima sana ili usome, mkeo/mmeo, watoto wanajua unaenda kazini. Kiroho ni kama unaenda nao na unafanya nao kazi, sasa unaanzaje kuhonga mshahara?


Laana nyengine tunajitakia wenyewe tu, we sadaka hutoi, mkeo analalamika kila
Siku, mama ako yuko bush, alafu unapata ujasiri wa kutuma 80,000 ya keki ya b/day haaaaa!

Kuanzia leo sihongi mshahara potelea potee
Kumbe ulikuwa bado unahonga mkuu?nyie ndio mnatusababishia mishahara haipandishwi,ila bado kidogo mlikuwa mmebakia nyie wachache,sie wengine tumeshazoea,ukiona mwanamke anakusogelea tu unanuna..
 
Pambana na hali yako, USITUTISHEEE (in maalimu Seif Voice)
 
kama ni tabia yako najua utajisahau na kujikuta umehonga
 
Back
Top Bottom