Mshahara ni tsh. Ngapi?

Kama 250000,nina msela wangu anapga hyo kaz na tangu aniambie miaka miwil ishapta so inawe ikawa imeongezeka.
 
Kama 250000,nina msela wangu anapga hyo kaz na tangu aniambie miaka miwil ishapta so inawe ikawa imeongezeka.
<br />
<br />
tgts c 287100/ kabla haujapanda mwezi 7.sasa hiv nafikiri itakuwa kama 320000/
 
Weka maslahi ya taifa mbele na si maslahi binasfi mkuu...Uzalendo kwanza....Maisha ni kujipanga mie nawajua watu wanachukua take home kama 1.2m lakini hana hata kiwanja wala kausafiri ka kutembelea...maisha kombolele butua uwaokoe wenzako
 
Acha ushamba post ya 2011 we una comment leo
 
basic ni 320000 take home 180000 upo hapo teacher,hata hivo walimu ni wito.unapoamua kuwa mwalim ukiwaza mshahara lazima upate ukicha, maana kazi ilivyo ngumu mshahara majanga
 
Tusidanganyane kwakuwa wengi humu sio waalimu mim ni mwalimu mishahara iko hivi;
Degreee anaanzia 589000
Diploma anaanzia 377000
certificate anaanzia 295000
Hizo ni bila makato makato mpaka take home zinapungua sana tu
 
umedanganya apo kwenye diploma na certificate hata mi n mwl
 
huu uzi ni kweli wa 2011 lakini kwa sasa mshahara ni degree 589000, diploma 432000 ctficate 344000 kabla ya makato
 
Back
Top Bottom