Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 477
- 1,066
Wadau njaa imezidi na wadeni wangu wanataka hela zao. Vipi jamani, mshaharawa mwezi wa saba bado?
Mama DUkilipwa niambie nikupe namba ya wakala utoe kabisaaa
Nikatengeneze nywele mimi🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️😆😆😆
Wadau njaa imezidi na wadeni wangu wanataka hela zao.vp jaman mshaharawa mwezi wa saba bado?
Wadau njaa imezidi na wadeni wangu wanataka hela zao.vp jaman mshaharawa mwezi wa saba bado?
CRDB TAYARI MKUU,
SMS nimeisoma sasaMhhhhi
Msalimie Dereva bonge.Halmashauri ya Kaliua hawatoi mikopo ya kupunguza Njaa?
CRDB TAYARI MKUU,
SMS nimeisoma sasa hivi
Nacheki hapa bilabila.
Nami niko crdb.
Au wanalipa kwa mafungu?
Nacheki hapa bilabila.
Nami niko crdb.
Au wanalipa kwa mafungu?
Mkuu huko kwenu wavaa vitenge nilisikia mlishachukua chenu jana.Nacheki hapa bilabila.
Nami niko crdb.
Au wanalipa kwa mafungu?
Wazee wa Bakabaka wamechukua jana,Mkuu huko kwenu wavaa vitenge nilisikia mlishachukua chenu jana.