watumishi wa umma wamekuwa wakisubiri kwa hamu kuona na
kujua ongezeko la mishahara mipya kwa muda sasa. Na mengi
yameandikwa na kusemwa hapa lakini ukweli ni kwamba
1. Kima cha chini kabisa kimeongezeka kwa tsh. 70,000
kutoka 170,000 hadi 24,000
2. Tgs d mshahara umeongezeka kwa tsh. 55,600
3. Tgs e mshahara umeongezeka kwa tsh. 54,800
4. Tgs f mshahara umeongezeka kwa tsh. 34,700
5. Na tgs h hadi j mshahara umeongezeka kwa tsh. Kati ya 160,000
hadi 200,000,
na wakubwa wameongezew tsh. 400,000
habari hizi ndio ukweli nina waraka lakini sitauweka hapa kwa sababu za privacy
naomba tafadhali sitapenda malumbano lakini am stand to be corrected....