Kama umeamua kutoweka huo waraka hapa, umetuletea hoja hii kwa sababu gani?
Kama ni suala la privacy, kuna kitu kinaitwa WHITEOUT. Basi sehemu ambazo hutaki zisomeke, kama vile majina, unazifuta, una-scan. Kwani watajua ni wewe?
Kumbuka: Kushiriki ufisadi si lazima uwe fisadi, unapofumbia macho ufisadi, nawe unakuwa fisadi.
Nimeeleweka na sifanyi malumbano.
madaktari utawajua tu? piga CCD bana.
'achana nae maddah don weist ur tym...'