Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,101
- 127,854
Mahsiala hayo mkuu, iyo moja na nusu inatosha hata kwa subsistence?
Unaona haiwezekani mkuu? Yan huo mshahara unaishi kabisaa...hutaki ukakae kwenu
Mahsiala hayo mkuu, iyo moja na nusu inatosha hata kwa subsistence?
Mie bora tu nikae nyumbani kiukweli maana mhhh!!!!
Mshahara laki na nusu??
You cant be serious
Hiyo ni hela yangu ya bia kwa mwezi.
Tatizo la JF ni kwamba kila mtu anataka aonekane ni "FIRST CLASS" kwa kua tu anatumia ID ambayo anaijua mwenyewe.[/QUOTE
Hahahah!!!
Hivi hiki kiwango ni kidogo kiasi hicho mbona mnashangaa sana
Basi bora nibaki na hiki kibiashara kangu aisee
Wengine mishahara yao kwa mwezi elfu 30
Ni kweli nyie wafanyakaz inawezekana mnalipwa mishahara kidogo.
Tatizo ambalo huwa najiuliza ni je hata hicho kidogo mnachopewa huwa mnakitolea jasho la kweli au ndo kufka maofcn mnasaini kisha mnaanza soga?
Mfano mdogo nauchukulia kwa mwalimu anayekula laki 3 alafu kuna mitoto kibao inamaliza darasa la saba hata haijui kuandka majina yao.
Sasa mfanyakazi wa hivo nikimkuta analalamikia udogo wa mshahara natamani hata nimtemee mate usoni.
Nendo hospitali kuna watu wanakula hadi milion na ushee lakini angalia utendaji wao had kichefchef na bado wako busy kuomba nyongeza za mishahara...
Utendaji wa watumishi wengi karibu sekta zote kuanzia ikulu kwa mkulu hauakisi mishahara yao.
Kazi kidogo mishahara mikubwa... natamani hata ingepunguzwa.
Bravo wajasiliamali na wafanyabiashara msiopenda kupoteza muda kwenye shughuli zenu za ujasiliamali.
Umesahau somo la leo: jinsi ya kutongoza shosti wa JF, naye anapractisi (Bofya)
Basi bora nibaki na hiki kibiashara kangu aisee
Wengine mishahara yao kwa mwezi elfu 30
Uwiiiiii laki 3?
Kwasababu unako ka biashara ndo maana, lakini kama huna huwezi kukataa, hali ngumu mjini.
Kuna mshkaji wangu ameenda kwenye interview na form four.
Amejisikia vibaya sana ila hana jinsi
Naona nipo kwenye shock mode!