Mshahara huu tutafika kwel?

Mshahara huu tutafika kwel?

watu wanatafta japo sehemu za kujitolea yy analemba hiyo laki tatu!!! mwacheni asugue gaga kitaa kama hajatamani angepata hata kazi ya laki.

Hahahah...akisugua gaga atatamani hata laki moja na mbaya zaidi hatoipata
 
utawaweza watu wa humu kila mmoja kujifanya mambo safi. mtu anashangaa mshahara wa laki mbili muulize hapo home kama wana house girl wanamlipa sh ngapi. mi namshauri mtoa mada aende kama kapata hiyo kazi. hujui humo ndani kunaweza kukawa na benefits kibao na mshahara ukakaa benki hata miezi sita usiwe na habari nao.

bora useme wewe watu wa humu ndani kila mtu analipwa vizuri sasa jiulize house gali wanalipwa sh ngapi...sales person maduka ya wahindi posta pita mitaa ya samora wana degree na diploma holder,customer care wa mtandao mbona watu laki kumi wana mishahara midogo??????

kijana aende kazini kama ulivyoshauri atatakula kazin kwake kutokana naufanizi kuna bonus,cumission nk.
akil zake achanganye na za kuambiwa
 
Mi mwenyewe pesa nnazo.....laki na nusu kwa mwezi mchezo?

hahahaaa!! kumbe hufikishi boom ninalopewa? huhuhuuu!

ila kweli unazo, kiasi lakini! soon ntakuwa sugar dadi wako! huhuhuuu!
 
hahahaaa!! kumbe hufikishi boom ninalopewa? huhuhuuu!

ila kweli unazo, kiasi lakini! soon ntakuwa sugar dadi wako! huhuhuuu!

Acha zarau....labda uwe shugadadi wa mwanangu
 
MAMBO TU ya lugha yanaleta tabu kwan kiswahili hakijitoshelez sometimes mm namaanisha hivi wkt una ajiliwa uliwaambia una degree wakakupa 150000? NA SIJA KUDHARAU KWAMBA HUWEZ KUWA NA DEGREE, OFCOZ UTAKUA UMEELEWA MKUU AU VP?
Mkuu sijajua swali lako umeuliza kwa malengo gani so sitakujibu
 
Hamna kitu....walewale akina Excel
sawa nakubali mrembo! but the day you test, you will need a full plate with water to drink with!


i dont miss you! huhuhuuu!
 
Last edited by a moderator:
sawa nakubali mrembo! but the day you test, you will need a full plate with water to drink with!


i dont miss you! huhuhuuu!


Hahahah vijana wa leo....mbona wa zamani hatukuwa hivi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom