Mshahara huu tutafika kwel?

Mshahara huu tutafika kwel?

Haaa hiyo laki mbili mwaka huu? Umetisha kama kweli. Ukiniambia mwaka 2000 mshahara wa rare professional kama daktari ilikuwa 150,000 lakini sasa miss chagga haiwezekani huo mshahara wa mtumishi wa ndani anayekula na kulala kwa boss. Sikatai, inawezekana lakini lazima kuwa na sehemu ya kupumulia...yaani perdiem, extraduty and other allowances au kama siyo ni wizi kwenda mbele utashangaa mwisho wa mwezi kauza hadi vikombe vya chai ofisisni

Basi bwana ila mwaka huu
 
Last edited by a moderator:
uko sahihi, wengine wanakimbia mshahara wa 2.5m wanaona mdogo anaamua kujiajiri, akifikiri anazidiwa hata na mission town wa mtaani halali bila laki mbili mfukoni! maisha ni kama rundo la karata, unaramba kimahesabu!

umeonaeeee hapa ni kimahesabu watu wanalipwa hiyo 2.5m na analalamika hana hlamwisho wa mwenz kaspend na umeisha

bila kujitambua na kuweka mipangilio hta hela kubwa hutowez kuifanyia kazi...hiyo ndgo kuna watu wajipanga na wamefungulia vibiashara vyao
hapa unaenza huku akicheki raman nyingine
 
Hata bado sijazinduka na huo mshahara ulivyoupigia bajeti ndo naona kizunguzungu na nyotanyota Teh!!!!mshahara laki 3 na mwengine akasema laki unusu kabisa!!!:shock::shock:

unahisi kizungu zungu kwasababu unapigia mahesabu na hela ya cream na ya saloon, lakini ukiwazia kuvumilia na kupata basic needs basi unatosha kabisa
 
nyumbani...you can not learn anything in life kwa kukaa nyumbani. experience is best teacher remember.
Inategemea ni mtoto wa kike au kiume. Mtoto wa kike shurti uishi nyumbani hadi ukaolewe. Wa kiume sawa
 
  • Thanks
Reactions: HMS
ama kweli hii ndio Tz.. nna rafiki yangu, ana mdogo wake ndio kwanza kamaliza certificate yake, kaajiriwa juz juz na mshahara wa laki tatu.. hana hata experience

Ona sasa wakat degree holder anapokea laki
 
Mkuu unashangaa laki tatu? watu tunalipwa laki na nusu...

watu wanatafta japo sehemu za kujitolea yy analemba hiyo laki tatu!!! mwacheni asugue gaga kitaa kama hajatamani angepata hata kazi ya laki.
 
HMS umesema ukweli watu wangejua watu wameanza na mishahara ya sh ngapi wasingeongea
watu wanashindia mihogo na viazi vya kuchoma hapa mjini
Wanafanya kazi bila malipo anapewa nauli tuu kikubwa unaandaa network one day utatoka kama ufaniz wako wa kazi ni mzuri
Mwanaume hachagui kazi .unataka mshahara mkubwa while huna network ya watu na ufaniz huna also kampuni unayoajiriwa ya aina gani.
Watu wanashangaa ila wapo wanaolipwa na maisha yanaenda

utawaweza watu wa humu kila mmoja kujifanya mambo safi. mtu anashangaa mshahara wa laki mbili muulize hapo home kama wana house girl wanamlipa sh ngapi. mi namshauri mtoa mada aende kama kapata hiyo kazi. hujui humo ndani kunaweza kukawa na benefits kibao na mshahara ukakaa benki hata miezi sita usiwe na habari nao.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: HMS
Usiogope kijana,anza kazi.itumie kama stepping stone.wenye kazi ndo wanapata kazi
coz kuna interview zinatangazwa kila siku na wanahitaji wenye uzoefu wa kazi wala hawaulizi wenye mishahara mikubwa au midogo.xo chukua kazi upate uzoefu,bana matumizi kwa kutumia ushauri wa HMS utatoka.
 
  • Thanks
Reactions: HMS
Nimewapenda wadada wote mliochangia uzi huu,seems mnajua maisha kwamba yanaanza kama mchicha na baadaye yanakuwa kama mbuyu
Pongezi tena na tena.
 
Back
Top Bottom