Mshahara huu tutafika kwel?

Mshahara huu tutafika kwel?

Khantwe na HMS umsema ukweli
Maisha ya tz kuna maisha na tabaka sana
Watu wengi wanalipwa huo mshahara na wanaishi hapa mjini
Maisha magumu kikubwa achukue hiyo fursa jipange usiogope
Ukisikiliza ya watu utaona bora uache kwa maana kuna wanaolipwa million hapa hapa na wengine laki mbili

Ni kweli kabisa. kuna watu wanalipwa milion na wanalilia shida, mwisho wa mwezi hana hata shillingi, matumizi makubwa, Issue ni kujitambua na kuweka mipangilio. Maisha ni mipangilio na subira. It is not how much you make but how much you spend.
 
Watu wameajiriwa na mishahara midogo na degree zao baada ya kukaa mtaani wakitafuta mishahara mikubwa na hawakupata.
They spend a lito na kujituma mishahara imepanda sasa yeye akataa while kuna watu kbao wanatafuta kazi
 
  • Thanks
Reactions: HMS
nyumbani...you can not learn anything in life kwa kukaa nyumbani. experience is best teacher remember.
 
Watu wameajiriwa na mishahara midogo na degree zao baada ya kukaa mtaani wakitafuta mishahara mikubwa na hawakupata.
They spend a lito na kujituma mishahara imepanda sasa yeye akataa while kuna watu kbao wanatafuta kazi

Mwanaume hasifiwi sura anasifiwa kipochi, Mwanaume hasifiwi misuli anasifiwa kazi. Heshima ni kazi, Ukiwa na kazi hata nyumbani wanakuheshimu hata kama mshahara mdogo, hiyo siri ya mtu binafsi. Watu wanapiga kazi ya kujitolea bila malipo mwaka mzima, itakua hiyo laki 3. Bado shida haijampiga mtu anekataa, ikimpiga vizuri kabisa kabisa, mbona hua wanashindia mihogo posta watu wanakula buger, fresh tu, utakula tu na ww siku moja, muhimu kujipanga na kujitambua, starehe zipo enzi na enzi, haziishi na hazitaisha, tafuta hela, kwanza. Bora uwaambie weye, mie labda kiswahili changu kigumu, lol
 
Umenichekesha ndugu na hako ka msemo ka bibie malkia wa uk

ahaahahahaa, nashukuru kwa kucheka maana umeniongezea CV kwa Sir God, hehehe. Bibie kapata shock a.k.a mshtukizo sasa nikaona ya nn mdada wa watu presha, ndo nkaamua ku un-shock ili awe fresh, hahaha,
 
Un-shock mode has been activate, you can go to your normal condition now, lol
Hata bado sijazinduka na huo mshahara ulivyoupigia bajeti ndo naona kizunguzungu na nyotanyota Teh!!!!mshahara laki 3 na mwengine akasema laki unusu kabisa!!!:shock::shock:
 
  • Thanks
Reactions: HMS
Khantwe na HMS umsema ukweli
Maisha ya tz kuna maisha na tabaka sana
Watu wengi wanalipwa huo mshahara na wanaishi hapa mjini
Maisha magumu kikubwa achukue hiyo fursa jipange usiogope
Ukisikiliza ya watu utaona bora uache kwa maana kuna wanaolipwa million hapa hapa na wengine laki mbili

uko sahihi, wengine wanakimbia mshahara wa 2.5m wanaona mdogo anaamua kujiajiri, akifikiri anazidiwa hata na mission town wa mtaani halali bila laki mbili mfukoni! maisha ni kama rundo la karata, unaramba kimahesabu!
 
HMS umesema ukweli watu wangejua watu wameanza na mishahara ya sh ngapi wasingeongea
watu wanashindia mihogo na viazi vya kuchoma hapa mjini
Wanafanya kazi bila malipo anapewa nauli tuu kikubwa unaandaa network one day utatoka kama ufaniz wako wa kazi ni mzuri
Mwanaume hachagui kazi .unataka mshahara mkubwa while huna network ya watu na ufaniz huna also kampuni unayoajiriwa ya aina gani.
Watu wanashangaa ila wapo wanaolipwa na maisha yanaenda
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: HMS
Benk ya posta wananilipa 140,000 na hapo kama nikifikisha wateja 40 kwa mwezi chini ya hapo nalamba 80,000 na bachelor yangu. Mh maisha magumu aisee.
 
acha woga mkuu watu tumeanza na mshahara laki mbili

Haaa hiyo laki mbili mwaka huu? Umetisha kama kweli. Ukiniambia mwaka 2000 mshahara wa rare professional kama daktari ilikuwa 150,000 lakini sasa miss chagga haiwezekani huo mshahara wa mtumishi wa ndani anayekula na kulala kwa boss. Sikatai, inawezekana lakini lazima kuwa na sehemu ya kupumulia...yaani perdiem, extraduty and other allowances au kama siyo ni wizi kwenda mbele utashangaa mwisho wa mwezi kauza hadi vikombe vya chai ofisisni
 
Last edited by a moderator:
Benk ya posta wananilipa 140,000 na hapo kama nikifikisha wateja 40 kwa mwezi chini ya hapo nalamba 80,000 na bachelor yangu. Mh maisha magumu aisee.

Omba mkopo hapa wa miliom moja uanze kuuza hata vocha utaendelea kuliko hapo ulipo
 
Back
Top Bottom