Mshahara huu tutafika kwel?

Mshahara huu tutafika kwel?

MAMBO TU ya lugha yanaleta tabu kwan kiswahili hakijitoshelez sometimes mm namaanisha hivi wkt una ajiliwa uliwaambia una degree wakakupa 150000? NA SIJA KUDHARAU KWAMBA HUWEZ KUWA NA DEGREE, OFCOZ UTAKUA UMEELEWA MKUU AU VP?

Ok....
 
bora useme wewe watu wa humu ndani kila mtu analipwa vizuri sasa jiulize house gali wanalipwa sh ngapi...sales person maduka ya wahindi posta pita mitaa ya samora wana degree na diploma holder,customer care wa mtandao mbona watu laki kumi wana mishahara midogo??????

kijana aende kazini kama ulivyoshauri atatakula kazin kwake kutokana naufanizi kuna bonus,cumission nk.
akil zake achanganye na za kuambiwa
kumbe una akili ya maisha mama,:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
 
jamaa kweli kabisa, mimi nilitumia laki na 40 kwa siku 1 kuamka kitoga kimepungua, tangia siku hiyo nimesema sinywi tena biere, sasa nampenda yesu, napeleka kwenye fungu la 10, koo likicheza nakemea kweli. ila washikaji wakiniita hapo ndio kizaa.
Kwa kweli nimecheka sana, kumbe tuko wengi!!!!
 
Kafanye kaz weuwee utakula nyas as viongoz wenu they said
 
Mshahara wa mhasibu wa hotel ni sh ngapi kwa wenye degree ya uhasibu?
Mishahara kwa Sekta binafsi imepangwa kulingana na Sekta husika. Sio kwamba kwa vile wewe ni mhasibu basi mshahara wako utakuwa Fixed, na Serikali huwa inapanga Mishahara kwa kuzingatia Kima cha Chini cha Mshahara huko kwingine itategemea na Bargining Power kati ya Mwajiri na Mwajiriwa.. Ila kwa Kifupi ni kwamba: kwa mujibu wa Amri ya Mishahara(Wage Order) ya tarehe 1 Julai 2014: ni kwamba Sekta ya Hotel ina makundi matatu hivi ambayo vima vya Chini vya mishahara vinatofautiana ambavyo ni:-
1.Potential/Tourist Hotel-Kima cha chini cha Mshahara ni Tsh.250,000
2. Medium Hotel-Kima cha Chini cha Mshahara ni 150,000
3. Migahawa (sio chini ya 120,000**)
hiyo ndiyo Mishahara ya Wafanyakazi wa Sekta ya Hotel: zaidi ya hapo Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini Na.6/2004 inatambua uwepo wa Mikataba ya Halibora inayofikiwa kati ya Waajiri na Waajiriwa kwa Lengo la kuboresha viwango hivyo vya mishahara ambapo ndo Professionalism na Experience vinaweza kuzingatiwa.
 
Mkuu ni ngumu kupata kaz inayolipa bila kuwa na kaz,bora ufanye yenye mshahara mdogo upate uzoefu kitu ambach ni muhimu.
 
Back
Top Bottom