Nawachukia wachina, yani ma engineer wao watao endesha bandari, kampuni ni yao itayo jenga bandari yan kha! Ili li nchi kuanzia leo mie ni mkimbizi nchi yangu ni Ghana
Hawatufanyi majuha kama huku tanganyika wanavyo fanya, nilifanya kazi na hawa watu kwa siku tatu duuu unaweza jipigiza chini yani ni zaidi ya wahindi
Jk anawapenda sana wachina................................ anatamani awe mchina.
Ila labda wachina wanaweza kusaidia kukuza uchumi wa nchi. kwa mfano bandari ya bagamoyo. hii bandari ikikamilika inaweza ku serve nchi za maziwa makuu kama itakuwa competitive. wenzetu wakenya sasahivi wanafanya mpango bandari kuu ya mombasa kuwa free port. sasa hapo lazima serikali iangalie kwa makini, wasije kujenga bandari halafu ikabaki jina tu
kweli umekuwa sasaunaanza wikend jtano,nimekukubali.
jasiri haachi asili...kwako ni kwako tu,wavamizi wakija,hutakiwi kupakimbia
Unajua Paloma alipo?
Shemu kuna zawadi yako, unajua nakupenda kuliko hata loya hafikii eeeh
Passion Lady....naona kila kitu,namvutia kasi tu manoah
tatizo unaadimika sana
mi nakulindia ila nitachoka sasa!
hahaaa!tutamlipua acha ajishaue tu!
Poin of correction Passion Lady eti mgambo? OMG!
unadhani analindika bas uyu?..bas..mgomo unaisha jumatatu ya pasaka,..
Me nataka kula tu vinginevyo sili kabisa.