Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Sema msemo unaokukera mkuu acha kuhubiri siasa hapa [emoji23][emoji23][emoji23] Siyo kila wakati ni siasa. We can relax and laugh sometimes. Ndo maisha ati!Nimejitoa kafara kupambana na mafisadi, halafu anajicontradict sifukui makaburi ya zamani. Nimejitoa mhanga kuwasaidia wanyonge, halafu anavunja nyumba kibao katkika bomoa bomoa bila kuwafidia hata senti na kutoa kauli kwamba anataka Watanzania waishi kama mashetani huh!