Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,575
- 12,368
Mtaisoma namba
'Vepeeee' na ' ama nene'....zinanikeraaaaaa
Msemo ulionikera mwaka huu ni 'vepee' badala ya vipi 'nene' badala ya nini
BASI KUNYWENI SUMU KAMA VEPEE ...!Mimi hili neno 'chura' daaa silipendiii kama nini
Ulinusurika kutumbuliwa niniSipendi neno JIPU hasa linapotumika kwa watu

Mimi piaShilawadu....huu msemo umenikele sana
Neno Safi sana hili"mubashara" nakereka sana nikisikia neno hili
Asante kwa ushauri wako muruaaBASI KUNYWENI SUMU KAMA VEPEE ...!
Ulinusurika kutumbuliwa nini![]()
![]()
![]()
yananichefua sana haya manenoMsemo ulionikera mwaka huu ni 'vepee' badala ya vipi 'nene' badala ya nini
Kuna huu msemo unaosema "Povu linakutoka" dah aise siupendi huu msemo kutoka moyoni.
'Vepeeee' na ' ama nene'....zinanikeraaaaaa
Shilawadu....huu msemo umenikele sana
Faru john..