Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,111
- 4,773
"Mniombee" by Magufuli.
Kumbe tumuombee afunge watu vizuri
Kumbe tumuombee afunge watu vizuri







Seriously!, aisee kama huo msemo una kukera kweli basi una pepo la uongo.Msema kweli ni MPENZI WA MUNGU!
Basi sawaKing kiba
Umenkera kutokana na anayeutumia ni muongo!Seriously!, aisee kama huo msemo una kukera kweli basi una pepo la uongo.
Siyapendi hayo maneno tena unakuta toto la kiume linaongea hivyo'Vepeeee' na ' ama nene'....zinanikeraaaaaa