Msemaji wa timu anaropoka kuhusu hela ya mboga Bilioni 2, wakati timu ya Pyramids imesajili mchezaji wa Bilioni 8.3

Chibike

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
4,896
Reaction score
7,522
Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili.

Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na uzushi kwa brand kubwa kama ya Simba., yeye hapo ni muajiriwa tu, hizo pesa za Tajiri Bakhresa hatokaa azimiliki maisha yake yote kwaio aache kudharau na kujishushia heshima na hadhi.

Yeye anaitukana Simba sports club kisa Bilioni 2, Sasa timu ya Pyramids ya misri imemsajili mchezaji kwa Bilioni 8.3 Tsh, mchezaji mmoja tu..bilioni 2 tu unaropoka kama mwehu, bilioni 2 kwa wengine ni hela ya mboga tu. Hata wanaweza kununua nafasi yako ya kazi na akapewa mwingine wewe ukaenda kusugua Gaga Tandahimba.
 
Msemaji kawapasha ipasavyo maana mlikuwa mnadandia ajenda msizozijua kutumia fei kama kichaka cha kuficha udhaifu wa viongozi wenu,, Uyo mhindi wenu kashindwa kufanya usajili wa maana anaenda kuazima wachezaji kwa mkopo alafu aje atoe zaidi ya bilioni 2.5 kumnunua mchezaji wa ndani? Na iyo ni gharama za kumtoa Azam bado maslai binafsi ya mchezaji inakaribia billion 3 mnazo? Unataja pyramid kwaiyo unajilinganisha na pyramid? Kwa uchumi Gani ilionao Simba?
 
Wanadaiwa hadi kucha bil 67 zake anazitaka Kanjibhai
 
Kwani yeye ni msemaji wa pyramid

USSR
 
Tafuteni hela sababu hamna hela acheni kulialia
 
Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili.

Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na uzushi kwa brand kubwa kama ya Simba., yeye hapo ni muajiriwa tu, hizo pesa za Tajiri Bakhresa hatokaa azimiliki maisha yake yote kwaio aache kudharau na kujishushia heshima na hadhi.

Yeye anaitukana Simba sports club kisa Bilioni 2, Sasa timu ya Pyramids ya misri imemsajili mchezaji kwa Bilioni 8.3 Tsh, mchezaji mmoja tu..bilioni 2 tu unaropoka kama mwehu, bilioni 2 kwa wengine ni hela ya mboga tu. Hata wanaweza kununua nafasi yako ya kazi na akapewa mwingine wewe ukaenda kusugua Gaga Tandahimba.
mkuu pyramids ndo wa kufananishwa na simba!!!unajielewa kweli?
 
Msemaji kawapasha ipasavyo maana mlikuwa mnadandia ajenda msizozijua kutumia fei kama kichaka cha kuficha udhaifu wa viongozi wenu,, Uyo mhindi wenu kashindwa kufanya usajili wa maana anaenda kuazima wachezaji kwa mkopo alafu aje atoe zaidi ya bilioni 2.5 kumnunua mchezaji wa ndani? Na iyo ni gharama za kumtoa Azam bado maslai binafsi ya mchezaji inakaribia billion 3 mnazo? Unataja pyramid kwaiyo unajilinganisha na pyramid? Kwa uchumi Gani ilionao Simba?
Wanafikiri kumnunua mchezaji bilioni 3 ni sawa na kuwaonga vielfu hamsini hamsini kina kefa kayombo na heri sasii.
 
Katajwa Fei mashoga yote ya jangwani mmeanza kupiga kelele
 
Wanafikiri kumnunua mchezaji bilioni 3 ni sawa na kuwaonga vielfu hamsini hamsini kina kefa kayombo na heri sasii.
Siyo tatizo lenu,ni udumavu wa akili zenu maana hamna hata ndoto ya kununua mchezaji kwa hiyo bei
 
Mbona hawa vyura wakisikia Fei anaenda Simba mate yanawatoka sana ? Fei kasema anaitaka Simba...so ataenda hata akimaliza mkataba akiwa free agent...
 
Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili.

Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na uzushi kwa brand kubwa kama ya Simba., yeye hapo ni muajiriwa tu, hizo pesa za Tajiri Bakhresa hatokaa azimiliki maisha yake yote kwaio aache kudharau na kujishushia heshima na hadhi.

Yeye anaitukana Simba sports club kisa Bilioni 2, Sasa timu ya Pyramids ya misri imemsajili mchezaji kwa Bilioni 8.3 Tsh, mchezaji mmoja tu..bilioni 2 tu unaropoka kama mwehu, bilioni 2 kwa wengine ni hela ya mboga tu. Hata wanaweza kununua nafasi yako ya kazi na akapewa mwingine wewe ukaenda kusugua Gaga Tandahimba.
Hatutaki maneno, Feisali yupo toeni hizo 2bil kama mna uwezo mumchukue.
 
Back
Top Bottom