lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,446
- 25,711
Naunga mkono. Wale wanaomuunga mkono mwenyekiti wako wapi watoe tamko la kuilaani USA kuingilia mambo ya ndani ya uongozi huu uliowekwa na mungu?
Mabeberu wanaona tunakaribia kuwazidi kiuchumi.