Watanzania wengi hawana ufahamu na masuala ya uraia hata na baadhi waliosomea civics hajuwi kabisa maswala ya uraia

Bullshit

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,300
1,495
Hivi ndo kusema kwamba hizo sio shida zenu au ni kukosa Elimu kuhusu masuala na sheria za nchi.

Mbaya zaidi hata waliosomea masuala ya nchi bado nao ni mbumbu kuhusu maswala ya nchi yao.

Haya nimefanyia uchunguzi kwenye suala hili linaloendelea kuhusu uwepo wa watu ndani ya serikali lakini sio raia.

Kazi kweli kweli
 
Civics haifundishi uraia kutokana na sheria za uraia kwa watanzania na kanuni zake.
civics inakupa nadharia ya uraia mbali mbali duniani.
civics haifundishi misingi hiyo ya uraia
Ndio maana watanzania layman wanachanganyikiwa mno.
kwa sababu kilichofundishwa shuleni hakipo kwenye sheria za uraia na kilichopo
kwenye sheria ya uraia hakifundishwi shuleni.

Tuna misingi mibovu sana ya elimu nchi hii, kazi kusisitiza kilimo cha bangi jamaika
kuliko yanayotuhusu.

hii inaenda hadi kwa makamanda wa majeshi mbali mbali
 
Ndo ushindwe kujua uraia nyumbani kwako ikiwa umepita uko mkuu. unapofundiswa swala la uraia hapo inakupasa ujue mfumo wa uraia nyumban kwako uko vipi.
 
Embu tuelezee mfumo wa uraia kwa hapa Tanzania upo vipi?
 
Back
Top Bottom