Msemaji wa Serikali: Tutatoa tamko taarifa ya ubalozi kuhusu masuala ya ndani ya nchi

Tuwafukuze nchini kwetu! Kwani hata tukichinja raia elfu wao inawahusu nini? Watimuliwe na huo ubalozi ufungwe Asap! Kwanza hatuhitaji tena misaada,makusanyo ya Tra yanatosha kujenga SGR,kununua ma dreamliner kibao,kujenga ma fly over hadi chato,kulipa wapinzani wanaokuja kutua mizigo yao na chenji kidogo inabaki tunanunulia paracetamol na pamba za hospitali zetu,tunawalipa walimu vimishahara vyao,na tunajenga majengo ya halmashauri zetu kwa hadhi ya kimataifa,kama hilo hapo!!! View attachment 837081
Dah..aisee umetisha kwa huu ukurasa mkuu
 
Acha hizo izo wewe! Kale ugali na mchicha ukishiba ndio uje jf.
 
Mbona wap hatukuingilia walivyomdhulumu mama Clinton kuwa raisi. Hakuna demokrasia kule, wamekalia Ukiranja wa dunia tu.
 
Tutawawekea vikwazo vya kiuchumi hao Marekani,wasiingile mambo yetu ya ndani.
Tuwafukuze nchini kwetu! Kwani hata tukichinja raia elfu wao inawahusu nini? Watimuliwe na huo ubalozi ufungwe Asap! Kwanza hatuhitaji tena misaada,makusanyo ya Tra yanatosha kujenga SGR,kununua ma dreamliner kibao,kujenga ma fly over hadi chato,kulipa wapinzani wanaokuja kutua mizigo yao na chenji kidogo inabaki tunanunulia paracetamol na pamba za hospitali zetu,tunawalipa walimu vimishahara vyao,na tunajenga majengo ya halmashauri zetu kwa hadhi ya kimataifa,kama hilo hapo!!! View attachment 837081
Ukute unamuliki smartphone na kula kuishi na kwenye MasofA ya shemeji yako
 
Mbona wap hatukuingilia walivyomdhulumu mama Clinton kuwa raisi. Hakuna demokrasia kule, wamekalia Ukiranja wa dunia tu.
Na wewe jitutumue ili ukalie huo ukiranja kama unahisi ni kitu chepesi!
 
mangapi yameenda viral kwenye international community and nothing happen!!!

The international community is taking tabs on Tanzania!
Small minded kayumbaz hamuwezi kuliona hilo, mnaaminishwa kwamba Tanzania ni kisiwa kumbe hakunaga hilo, ndio maana umesikia Kabila kamwaga manyanga kule DRC!
Kaa kwa kutulia mgoshi!!!
 
US amewashika pabayaa, hata mtoto mdogò anajua kilichotendeka kwenye hizo chaguzi ndogo
 
Koote tuache lakini hata kule kwao pamoja na kwamba hawajatakata Hakuna unyimaji wa haki kama sasa hapa kwetu. Jamani hata habari mwananchi hatakiwi kupata? Nina mda sasa naangalia habari za nchi jirani tu labda niwe na bando.
 
Tuwafukuze nchini kwetu! Kwani hata tukichinja raia elfu wao inawahusu nini? Watimuliwe na huo ubalozi ufungwe Asap! Kwanza hatuhitaji tena misaada,makusanyo ya Tra yanatosha kujenga SGR,kununua ma dreamliner kibao,kujenga ma fly over hadi chato,kulipa wapinzani wanaokuja kutua mizigo yao na chenji kidogo inabaki tunanunulia paracetamol na pamba za hospitali zetu,tunawalipa walimu vimishahara vyao,na tunajenga majengo ya halmashauri zetu kwa hadhi ya kimataifa,kama hilo hapo!!! View attachment 837081
Mkuu mi nipo Kinole huku.... Je hiyo picha ndio ubalozi wa marekani DSM ama? Sijawahi kufika DSM!
 
Tuwafukuze nchini kwetu! Kwani hata tukichinja raia elfu wao inawahusu nini? Watimuliwe na huo ubalozi ufungwe Asap! Kwanza hatuhitaji tena misaada,makusanyo ya Tra yanatosha kujenga SGR,kununua ma dreamliner kibao,kujenga ma fly over hadi chato,kulipa wapinzani wanaokuja kutua mizigo yao na chenji kidogo inabaki tunanunulia paracetamol na pamba za hospitali zetu,tunawalipa walimu vimishahara vyao,na tunajenga majengo ya halmashauri zetu kwa hadhi ya kimataifa,kama hilo hapo!!! View attachment 837081
First and foremost.....improve your relationship with alcohol. Especially local brews
 
Nchi hii bwana hata mkikosea mnataka wawasifie tu the day is coming endeleeni kuwadanganya
 
Zitahudhuria zile media pendwa za kina msiba na wenzie kusikiliza pumba.
 
Back
Top Bottom