Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,253
Huyu jamaa naye ana mipasho kama muimba taarab. Achunguzwe
Jibu zuri sana!
Serikal ya Ndugu John Joseph Magufuli inawatakia Maaskofu wa KKKT Na waumini wote wa Dini ya Kikristo Pasaka njema
Mbona mange kimambi wanamjibu na mazoezi ya utayari wameanza..
Alipotoa tamko la ujio wa ndege mpya baada ya sintofahamu, alipotoka umakini wake sikuuona zaidi ya mipasho ambayo haipaswi kutolewa na mtumishi wa serikali aliye makini.Huyu jamaa huwa ana majibu mafupi lkn yana uzito sana, Lissu alipotaka kuanzisha ligi na serikali jamaa alimwambia " hatuwezi kulumbana na mgonjwa ila tunamtakia matibabu mema" . Tokea siku hiyo Lissu hajawahi kuitisha tena press.
Jamaa huwa yuko makini.Mimi binafsi namkubali
So kama hawana majibu maana yake watu wanataka maazimio yachukue nafasi
Kwenye Ilani ya Uchaguzi ya 2015-2020 hakuna Sehemu anayotakiwa kujibu Mipasho ya Nyaraka!
Maaskofu wanakurupuka eti Rais alete Katiba Mpya!
Muongozo wa Utendaji kazi wa Rais Ni Ilani ya Chama chake sio Nyaraka za Kidini, hakuna sehemu CCM iliahidi Mambo ya Katiba Mpya, ile ya Warioba ni kihere here tu cha Mkwere
Huyu jamaa huwa ana majibu mafupi lkn yana uzito sana, Lissu alipotaka kuanzisha ligi na serikali jamaa alimwambia " hatuwezi kulumbana na mgonjwa ila tunamtakia matibabu mema" . Tokea siku hiyo Lissu hajawahi kuitisha tena press.
Jamaa huwa yuko makini.Mimi binafsi namkubali
Angalia kwny trending mkuu hapo,lkn akiusoma wote hamna kitu kipyahuo waraka umo humu?? msaada wa link
Sasa katiba mpya ya wananchi itaanza mchakato very soon
Hiyo nyingine mkaitumie majumbani mwenu na waume zenu mkasafishie madirisha yenu
Huo ndio mpango ,kumjibu mjinga ni kumpa kiki ,nakutakia pasaka njema mh abasi na wote pale ikulu yetuView attachment 724914Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika hivi:
"Nimeulizwa sana kuhusu haya matamko, nasisitiza, kwa sasa hatuoni cha kujibu zaidi ya kuwatakia waumini na waamini wote Pasaka njema".
[HASHTAG]#FakePhD[/HASHTAG] kweli tunatofautiana akiliHuyu jamaa huwa ana majibu mafupi lkn yana uzito sana, Lissu alipotaka kuanzisha ligi na serikali jamaa alimwambia " hatuwezi kulumbana na mgonjwa ila tunamtakia matibabu mema" . Tokea siku hiyo Lissu hajawahi kuitisha tena press.
Jamaa huwa yuko makini.Mimi binafsi namkubali
uzuri Wa maaskofu wanarusha mkuki alafu wana tulia.Angalia kwny trending mkuu hapo,lkn akiusoma wote hamna kitu kipya
kwahiyo lissu kashindwa kuitisha press kwaajili ya hiyo sentensi 1? kichwa kisichofikiri ni mzigo kwa mwili.Huyu jamaa huwa ana majibu mafupi lkn yana uzito sana, Lissu alipotaka kuanzisha ligi na serikali jamaa alimwambia " hatuwezi kulumbana na mgonjwa ila tunamtakia matibabu mema" . Tokea siku hiyo Lissu hajawahi kuitisha tena press.
Jamaa huwa yuko makini.Mimi binafsi namkubali
Huyu jamaa huwa ana majibu mafupi lkn yana uzito sana, Lissu alipotaka kuanzisha ligi na serikali jamaa alimwambia " hatuwezi kulumbana na mgonjwa ila tunamtakia matibabu mema" . Tokea siku hiyo Lissu hajawahi kuitisha tena press.
Jamaa huwa yuko makini.Mimi binafsi namkubali
Nikumbushe alifanya ipi baada ya hilo jibuSasa hayo ndo majibu makini,na mbona lissu kila Mara anafanya press conference tu akiituhumu ccm Kwa kumnyima hela ya matibabu,wewe kumbe akili zako ni sawa na buku Saba tu