Tyson Mike
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 239
- 151
Unafiki!! Hajakosa cha kujibu ila hujaagizwa ujibu nini,ukiiagizwa na baba yetu,utajibu.Tunajua unasubiri maagizo toka juuuView attachment 724914Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika hivi:
"Nimeulizwa sana kuhusu haya matamko, nasisitiza, kwa sasa hatuoni cha kujibu zaidi ya kuwatakia waumini na waamini wote Pasaka njema".