Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Du jamaa wa pili ana maelezo mengi....wote naona wanauliza lini katiba mpya itatolewa?
 
huyu mzee eti anataka kwanza tuisome katiba ya sasa ilitujilizishe kama tunahitaji katiba mpya. Huyu mzee hajatulia.
 
kwa majibu ya huyu mzee inaonekana ccm na serikali hawahitaji katiba mpya wanataka kuweka viraka tu.
 
Jamani ni uzee unanijia bila taarifa nashindwa kumwelewa Msekwa ama ni yeye ameachwa na wakati...kwa kua anarudia tu Historia na haelekei kukumbuka kwamba tuko kwenye zama mpya!
 
Back
Top Bottom