Wakati Mzee wa Kawaida Makamba akiikataa Katiba Mpya Mzee mwenye Akili Spika Mstaafu Msekwa asema haikwepeki

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
"Kwa Tanzania ya sasa na Mambo yalivyo na yanavyoenda Katiba Mpya kwa Tanzania ni lazima na hili wala lisipingwe au lisichukue muda mrefu Kutetewa Kisiasa" Mzee mwenye Akili Kubwa Spika Mstaafu Pius Msekwa.

Taarifa: Radio One Taarifa ya Habari

Nami MINOCYCLINE nasema Tanzania ya sasa inawahitaji mno Wazee wenye Akili Kubwa kama akina Spika Mstaafu Msekwa katika Mijadala ya Kitaifa na siyo Wazee wa Kawaida ( Wasio na Akili ) ambao ndiyo wamejazana kwa sasa.

Asante sana Spika Mstaafu Msekwa.
 
N

Nami nimemuona na kumsikia ITV akisema katiba mpya inahitajika zaidi kwa sasa, ila sijui kama matajiri wa CCM watamuunga mkono.
 
"Kwa Tanzania ya sasa na Mambo yalivyo na yanavyoenda Katiba Mpya kwa Tanzania ni lazima na hili wala lisipingwe au lisichukue muda mrefu Kutetewa Kisiasa" Mzee mwenye Akili Kubwa Spika Mstaafu Pius Msekwa.

Taarifa: Radio One Taarifa ya Habari

Nami MINOCYCLINE nasema Tanzania ya sasa inawahitaji mno Wazee wenye Akili Kubwa kama akina Spika Mstaafu Msekwa katika Mijadala ya Kitaifa na siyo Wazee wa Kawaida ( Wasio na Akili ) ambao ndiyo wamejazana kwa sasa.

Asante sana Spika Mstaafu Msekwa.
Makamba mlamba asali! Ujinga tu!
 
Back
Top Bottom