Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

Kwa kweli walioandaa huu mdahalo wamemuonea huyu mzee hata hajibu maswali .
 
Anajishushia hadhi tu, si angeenda kulala na bibi zaizi usiku huu anabishana na vijana!!! CCM bana
 
naomba ufafanue

jamani huyu mzee anachanganyikiwa na amekiri hivyo.zito kabwe amekuwa mtu wa katikati kwa kutoa ushauri kwamba mzee asiulizwe maswali kama ccm ila kwa uzoefu wa msekwa wamuombe ushauri kwamba wanataka katiba iweje?na tanzania wanayoitaka.
 
Jamaa anamwambia Msekwa eti anatakiwa ale pensheni nae anajibu kuwa bado ana nguvu.
 
Back
Top Bottom