Msekwa aongoza mjadala wa Katiba Mpya na Tanzania tunayoitaka

kikule

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
217
56
spika wa bunge na makamu mwenyekiti wa sisiem atakuwepo leo saa tatu usku hotel ya moven pick kwenye mjadala wa katiba,ITV na Redio one watakuwa live kwenye tukio hilo.Je atazungumza pointi au ni wale wale akina kombani na werema?
Nawaomba kuwasilisha:msela:
 
Kwanini sio mtendaji mkuu wa chama.... makamba?????
 
Ajabu.. Kwani Makamba amesharuhusu watu wake washiriki midahalo?
 
1. A Wrong Person to lead the Israelites to Caana!!!

2. Movenpick Hotel, A Wrong Place where the nation's most troubling DOWANS scandal was manufactured byCCM's corruption team of experts Nimrod Mokono, Rex Attoneys and the ICC.

3. A wrowng location as people who are crying for Katiba Mpya are not the rich that often frequent suchlike expensive venues but the majority populace at Manzese Kwa Bibi Nyau, Mtoni Kwa Azizi Ali, Tandale and the like.

Msekwa, you got everything all wrong and too late anyway!!!!
 
spika wa bunge na makamu mwenyekiti wa sisiem atakuwepo leo saa tatu usku hotel ya moven pick kwenye mjadala wa katiba,ITV na Redio one watakuwa live kwenye tukio hilo.Je atazungumza pointi au ni wale wale akina kombani na werema?
Nawaomba kuwasilisha:msela:

Asante kwa taarifa mkuu!
 
Your the best, umenipa kitu roho inapenda ngoja niende nikaufuatilie huo mjadala!

spika wa bunge na makamu mwenyekiti wa sisiem atakuwepo leo saa tatu usku hotel ya moven pick kwenye mjadala wa katiba,ITV na Redio one watakuwa live kwenye tukio hilo.Je atazungumza pointi au ni wale wale akina kombani na werema?
Nawaomba kuwasilisha:msela:

HIVI KWELI NYANI AKASIMAMIE KESI YA NGEDERE WENZAKE? KICHEKESHO WACHA NI:crying:
 
msekwa kachoka hana mpya tutasikia hoja zake harafu tuombe next week wampatie nafasi kiongozi wa nguvu za umma achambue katiba kiundani ndio utajua ccm inakurupuka.
 
msekwa anatoa historia ya mchakato wa kudai katiba mpya nch hii
 
Back
Top Bottom