Msasda jinsi ya kuunganisha UPS na desktop

Msasda jinsi ya kuunganisha UPS na desktop

memory card

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2013
Posts
259
Reaction score
166
Nina SMART UPS C (APC)
Hii ni kama back up ya umeme kama unatumia umeme ukakata kama ukiconnect hii desktop haizimi ni mpya kabisa

Tatizo sijajua kuiunganisha ili desktop ichukue moto. Mwenye uzoefu anipe madini wakuu

20250328_172732.jpg
20250328_172510.jpg
 

Attachments

  • 20250328_172532.jpg
    20250328_172532.jpg
    314.3 KB · Views: 24
  • 20250328_172453.jpg
    20250328_172453.jpg
    455.5 KB · Views: 19
  • 20250328_172444.jpg
    20250328_172444.jpg
    318.9 KB · Views: 23
  • 20250328_172436.jpg
    20250328_172436.jpg
    213.6 KB · Views: 25
Chukua waya wa moto wa iyo ups uende kwenye soket ukutan au kwenye extension then nyaya za dekstop ndio zchukue umeme kutoka kwenye ups
 
Rudishia hiyo inayoninginia hapo juu kulia.
Cable ya kawaida ya umeme ya desktop inaingia chini kulia hapo.
Then vifaa vyako vinaingia kwenye hizo port 8 na waya kama huu.
1743197293054.png
 
Mbona mahesabu mengi hivi halafu mchina wa VETA anakutoa jasho?

1743201049911.png
 
Back
Top Bottom